January 21, 2022

Day

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia Shule kuu ya Uhandisi na Teknolojia kinawatangazia waombaji walioomba kozi ya udereva wa mitambo kuwa mafunzo yataanza rasmi tarehe 24 mwezi January 2022. Fomu ya kujiunga inapatikana hapa Fomu ya maombi – SUA driving school (PDF) Kwa taarifa zaidi kuhusu mafunzo hayo ya aina mbalimbali yanayotolewa hivi karibuni...
Read More