Kuanza rasmi kwa mafunzo ya Udereva wa Mitambo ya Kilimo, Magari na Pikipiki – January 2022

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia Shule kuu ya Uhandisi na Teknolojia kinawatangazia waombaji walioomba kozi ya udereva wa mitambo kuwa mafunzo yataanza rasmi tarehe 24 mwezi January 2022.

Fomu ya kujiunga inapatikana hapa Fomu ya maombi – SUA driving school (PDF)

Kwa taarifa zaidi kuhusu mafunzo hayo ya aina mbalimbali yanayotolewa hivi karibuni tembelea tovuti ya https://www.driving.sua.ac.tz

Wasiliana nasi kupitia
Simu: 0758384072
Barua Pepe: drivingschool@sua.ac.tz